Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 118
IPO MBAGALA CHAMAZ JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
INA UZWA TSH MIL 118 MAONGEZI YAPO
NJOO NKUZIE HII NYUMBA BOSS WANGU KALI SANA NI NYUMBA YA KISASA KABISA IME KAMILIKA
INA VYUMBA VNNE VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
ENEO SQUARE MITER 450
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA 🏬 SERIKALI YA MTAA
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 3 TU
NYUMBA NZURI SANA WADAU WANGU UKIWA SIRIOUSE TUKUTANE BANK UFANYE MALIPO TU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI
0759 203175 0652 618 143 📞 ♥️


















