Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Mwenyewe ana shida sana ana iyuza tsh mil 85
Ipo mbagala ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili masters bedroom ina sttng room na daining room ina jiko na store ina maji na umeme eneo zuri mtaa mzuri Sana ina eneo kubwa square meter 800) documents ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi una endelea
Kutoka Barbara kuu ya Chamanzi kuja kwenye nyumba dakika 5 tu Wai mdau wangu nyumba nzuri Sana ime jengwa kisasa ime kamilka yote njoo ulipe uwamie tu vyumba mpya kabisa