Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA/MADUKA YENYE HATI,TSHS.50 MILIINI,MBAGALA SABASABA.
Hapa ni KWAMPILI.
Kiwanja kina Ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hii ni nyumba ya Kizamani ambayo pengine inaweza kuhitaji Maboresho, kama una Makuu.
Nyumba Ina vyumba vya kulala 4 ( Masta 1)
Pia Sebule, Jiko na Choo cha Familia ndani.
Vilevile ina MADUKA/FREMU 6 YA BIASHARA.
Mtaa Mpana.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
_______________rjK