Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZUR INAUZWA MBEZI MWISHO NYUMBA YASITENDI YAMABASI MAGUFURI
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU
KIMOJA MASTA KUBWA
SEBULE DAINING
JIKO
CHOO CHAWATOTO
PIA KUNAFREM I YADUKA
KUNA MIGOMBA NYUMBA
NYUMBA IPO NDANI YAFENS
ENEO LAKE NIKUBWA
MITA 25 KWA 20
SAWA NA SQMT 500
BEI MILIONI 65 MAONGEZ YAPO
NIPO KWENYENYUMBA
SASAIVI PIGA CM NIKUPOKEE
Piga cm