Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba kali sana na ya kisasa zaidi inauzwa
Nyumba ipo mbezi msakuzi
Nyumba ni ya vyumba V4 sebule jiko daining chumba 2 Master public
Eneo sqm 400
Bei mil 65 tu
Hati mauziano selikali ya mtaa
Umbali kutoka barabara kuu miter 100 tu
Maji umeme vipo hapa
Karibu sana mteja
0719 514377



















