Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja zote kwa pamoja zinauzwa
Nyumba zipo mbezi msakuzi
Hii ni funguwa mwaka sasa nyumba za hatari kubwaa sebule kuubwaa
Nyumba ya kwanza Ina vyumba v3 sebule jiko daining chumba master publc stoo
Nyumba ya pili Ina chumba na sebule na choo na jiko zipo 2 na master moja na vyoo vya publc
Eneo sqm 1500
Bei mil 150 mazungumzo yapo
Hati tittlee dedee mkononi
Karibu sana mteja


















