Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE HATI INAUZWA NA BANK,TSHS.120 MILIONI,MBEZI-KIBANDA CHA MKAA.
Ni umbalivwa mita 400 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Hii nyumba Ina Pande mbili zinazojitegemea.
Kila upande vyumba vya kulala 3 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,200.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Eneo ni kubwa unaweza kujenga zaidi.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg



















