Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba ni zuri yaki sasa inauzwa mbezi malamba mawili sifa ya nyumba ni ipo karibu na barabara ya rami ni dakika moja kutoka rami nyumba ina hati miliki ya makazi na ya bihashara title deed safi pia eneo lake sqmt 800 inavyumba vitatu kimoja master sebule kubwa daining ya kisasa jiko zuri public toilet bei million 180
0715352497/0755352497