Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA 3 ZINAUZWA
ZIKO MBEZI BEACH AFRIKANA UPANDE WA JUU-SALASALA
BEI NI MILION 230 tshs KWA ZOTE
KILA NYUMBA INA MPANGAJI NDANI, PANAFIKIKA KIRAHISI.
ANAYEUZA KANYOOKA VIBAYA MNOO, KAMA KUKIWA NA LONGOLONGO NIFUNGE MIMI DALALI😀😀
MAWASILIANO ZAIDI;
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call