Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







HOUSE FOR SALE MILIONI 65 MAONGEZI KIDOGO
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA LOCATION MBEZI KWA MSUGULI KWA UNJU OR TABATA KIFURU
NYUMBA INADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE 450
SIFA ZAKE
____________
VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER SITTING ROOM & DAINING TABLE JIKO KUBWA LENYE MAKABATI PABLICK TOILET NDANI FENCE NA PAKING NI KUBWA PEVING BLOCK π«
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SEVCHAGE 30000 KWENDA KUONA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347