Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA IMESHUKA BEI
_____
MILIONI 65 CHANGAMKIA FURSA
______
INAUZWA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO KIFURU
______
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI( KINYEREZ ROAD)KILOMITA MOJA HADI KWENYE NYUMBA
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15 BODA BODA 1000
______
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM SEBULE JIKO LA KISASA
CHOO CHA PUBLIC
UKUBWA WA ENEO SM 400
__________
KUPELEKWA KUONA 30000
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja