Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA IMESHUKA BEI
_____
MILIONI 65 CHANGAMUKIA FURUSA IYO 
______ 
INAUZWA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO KIFURU
______
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA MOJA HADI KWENYE NYUMBA 
______ KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15 BODA BODA 1000
______ NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBLE JIKO LA KISASA 
CHOO CHA PABILIKI 
______MASTA INA AISII 
KUNA CC CAMERA YA FENSI
______
MAJI DAWASKO  BARABARA NZURI INAFIKIKA MUDA HOHOTE 
______
UKUBWA WA ENEO SM 400
__________
KUPELEKWA KUONA 30000
NYUMBA HAPO ILIPO INA MPANGAJI NDANI
PIGA cm 0764575774



















