Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


GHOROFA NZURI INAUZWA MBEZI MWISHO (KIMARA)###
VYUMBA V4 KULALA V2 MASTERS,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC***** PIA KUNA FLAME 1 YA DUKA NJE###
UKUBWA WA ENEO SQM 1000***** HATI MAUZIANO(Sales Agreement)***** ENEO LIMEPIMWA(Ulasimishaji)###
BEI MILLION 290 MAONGEZI
SEVCHAGE 50000 KWENDA KUONA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347