Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
MBEZI MAKABE
ENEO SQM 800
VYUMBA V3 ,MASTER BEDROOM 1
SITTING,KITCHEN,DINING
PUBLC TOILET
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ILA GETI BADO
KUMEPIMWA MAWE YAPO,HATI BADO
NYUMBA NI YA KUMALIZIA TU
NYUMBA IPO MTAA MZURI
KM 4 TOKA MOROGORO ROAD
BEI TZS 47MIL
SITE VISIT CHARGE TZS 50,000/=
Call #0744400988