Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 20 MAONGEZI YAPO
_________
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI NJIA YA MALAMBA KITUO DALAJANI
_________
UKITOKA MBEZI USAFIRI DALADALA MIA 600
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 5
__________
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA SEBULE JIKO AINA MASTA INA CHOO CHA PABILIKI
_________
NYUMBA MPYA
ENEO NDIO SIO KUBWA
MITA 10 KWA 20
___________
KUPELEKWA KUONA 25000
NINA MTU MBELE