Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIJUMBA KIZURI KINAUZWA BEI POA
Ipo mbezi njiapanda mbezi luxury kwa tupatupa DAR-ES-SALAAM-TZ
Nyumba ni ya vyumba v3 kimoja master, sebule, jiko, dinning, na public toilet
Eneo sqm 200
Bei mil 25
Changamoto gari haifiki, inaishia kama mita 20 hivi
Umiliki mauziano serikali ya mtaa
Maji umeme vipo ndani
Unaweza kuishi, au kukata kata vyumba vya kupangisha ikakulipa vizuri tu
Gharama za Kupelekwa site 50k
Karibu sana mteja
Tupigie Whatsapp/call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale