Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
BEI MILIONI 85 MAONGEZI YAPO
=======
NYUMBA INAUZWA YA KISASA
IPO MBEZI KWA MSUGURI
=========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KM 3
========
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
=========
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA MASTA
CHOO CHA PABLIKI
SEBULE DAINING JIKO LA KISASA
MAJI DAWASKO
KUNA CC TV CAMERA
=========
BARABARA INAFIKIKA MUDA WOTE HATA KIPINDI CHA MASIKA
==========
KUPELEKWA KUONA 25000
CONT
0683234124
0718367179