Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA IPO MBEZI MALAMBA 2 DSM DK 3 TOKA LAMI.
___________
BEI MILIONI 70 MAONGEZI YAPO MWENYE NYUMBA NDO ANAUZA NA HAINA TATZO LOLOTE LOLOTE.
__________
SIFA
_____
__VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
__SEBULE
__JIKO LA NDANI NA NJE
__NYUMBA IPO KARIBU NA LAMI NA IPO NDANI YA FENSI.
__ENEO LA PARKING NI KUBWA
_______
KUONA NYUMBA TSH 25000
0679447338