Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


GHOROFA LINAUZWA MBEZI MWISHO KWA YUSUFU MAGUFURI STAND
JUU VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC××××× CHINI VYUMBA V2 KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA,JIKO NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI
UKUBWA WA KIWANJA SQM 1400*** PAMEPIMWA ULASIMISHAJI TAYARI BADO HATI
UMBALI KUTOKA LAMI MORO.ROAD KM 1.2
BEI MILLION 270 MAONGEZI
0713486848
0754486848