Nyumba inauzwa Mikumi, Morogoro
Mikumi, Kilosa, Morogoro
8 months ago
Sh. 35,000,000
NYUMBA INAUZWA
Nyumba iko mikumi(wilaya y kilosa)-tambukareli-MOROGORO,KM 1 toka lami barabara kuu ya kwenda Iringa na stand ya ma- bus mikumi,eneo lina ukubwa wa 1465sqm lina hati za Ardhi(kumepimwa)
Nyumba ina vyumba 3 pamoja na jiko,stoo na sebule na public toilet.
BEI MIL 35
Piga 0689712327 au 0679187316