Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma


Geita Mjini Mtaa Nguzo Mbili Nyumba hiyo
Jipatie Kwa Bei Nafuu Milioni 38 kwenye mtaa Tulivu wa Nguzo Mbili maji yapo na Umeme upo Vyumba vitatu + 1Master
Karibu sana kwa Mazungumzo gharama ya kufikishwa Site Tsh 10,Elf.
Simu +255621047516.