Nyumba inauzwa Njia Panda, Kilimanjaro







Nyumba MBILI zinauzwa Banana (njia panda segerea) wilaya ya Ilala Dar
📌BEI MILION 99 (usiogope)
Vyumba jumla ni 6
Nyumba kubwa v3 (kimoja masta kuubwa sana)
Siting jiko
Dining tailz jipsam
Ina leseni ya makazi
Gari moja hadi mjini
Eneo sqm 880 (makadilio) CALL 0683491594,0716974073



















