Nyumba inauzwa Nzuguni, Dodoma


NYUMBA HII NZURI YA KUHAMIA
INAUZWA
AREA NZUGUNI B DODOMA
MUUNDO WAKE NI
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJA WAPO NI SELFCONTEIND
SITTING/DINNING
JIKO LAKE
PUBLIC TOILET
BEI MILLION 55. TU
NYUMBA IPO SEHEMU NZURI NUNUA HAMIA
SABABU ZA KUCHELEWA.
TUPIGIE HARAKA.
0657 777 771 whatsapp/calls
0747 257 771 normal calls only
Kasinge
Dalali Tanzania