Nyumba inauzwa Pugu, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Pugu shule ya msingi Wilaya ya ilala dar
๐BEI MILION 75 MAONGEZI YAPO๐
Vyumba v3
๐Masta ni kubwa kama uwanja Taifa๐ (Masta zipo mbili)
Jiko, Siting Dinning
Tailz jipsam, Umeme maji
Gari moja had mjini
Eneo sqm 500 (makadilio)
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Unatembea tu had stend