Nyumba inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa,
Sinza uzuri (sweet corner)
Ina eneo kubwa sana sqm 365
Ina vyumba 14,
Ipo center, barabarani kama inavyoonekana.
Eneo limechangamka kibiashara.
Unaweza kujenga apartments, showroom, hotel, guest house na hata Godown.
Bei mil 330.
Maongezi yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638