Nyumba inauzwa Sinza, Dar Es Salaam






NYUMBA YENYE VYUMBA 17, TSHS.950 MILIONI,
SINZA E.
Hii ilikuwa ni Hotel ikafanywa Hostel na sasa ipo Sokoni.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni umbali wa Mita 200 kutoka Barabara ya Lami.
Eneo ni zuri na likiboreshwa vizuri ni Hotel nzuri bado.
Vilevile unaweza kubadilisha matumiza na kuifanya shughuli kama Shule ya chekechea, Zahanati au Ofisi nk.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
___________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.