Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba ya kisasa inauzwa Tabata Kinyerezi! Eneo tulivu na lenye mandhari ya kuvutia, kama vile Mbweni na Tegeta. Imejengwa katika kiwanja kikubwa cha sqm 1600 chenye hati. Nyumba hii ya kifahari imeezekwa kwa vigae vya Marekani, tiles za kiwango cha juu kutoka Spain, na vifaa vya bafuni vya kisasa vya St. Victoria kutoka Marekani. Inafaa kwa familia inayothamini faragha, utulivu, na mtindo wa kisasa. Bei: TZS Milioni 220. Gharama ya ukaguzi: TZS 60,000 tu.
#NyumbaBora #UwekezajiWaNdoto #RealEstateTZ #TabataKinyerezi #MakaziYaKifahari #NyumbaZaKisasa #KwaAjiliYaFamilia#dalalisoso#dalalitabata