Nyumba inauzwa Toangoma, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo kigambon toangoma Nyumba ya vyumba 4 vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml 45 nyumba ipo kalibu na Barbara kuu kabisa kutoka lami mita50 tu kufika ktk nyumba wahi sasa uje uchukuwe nyumba kali san nyumba nizuli saan kwamawasiliano #0683491594 #0716974073 .kupelekwa tsh 30