Nyumba inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam
💥Inapangishwa, UBUNGO KIBO
📍 180,000/= ×3 (lipia kuanzia miezi 3)
📍 Picha Hazioneshi vizur Fika uone
_______
____
• Chumba master
• Sebule
• Inayopangishwa ni gorofa ya 1
* UMEME Sub-miter yako
* Maji Ndani muda wote
* Ndan ya fensi
* Car Parking
* Mlinzi wa Kampuni
📌Note: Kesho kutwa inakuwa wazi tarehe 03/05/2024, kuona na kulopia ruksa
📌 ZINGATIA: Kodi inaambatana na hela ya tahadhari 50,000/=, unavyahama unarudishiwa
#Ipo Umbali wa dk 6 , had kituoni
___
#Malipo ya Dalali ni 180,000/=
#Service Charge 15,000/=
__________
0753-172-516