Nyumba inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


๐ฏ๏ธ Kiwanja chenye Nyumba 2 Kinauzwa, UBUNGO KIBO MSEWE near UDSM
๐ Bei ni 150,000,000/=
_____
_____
* Nyumba zote 2 zina wapangaji
1. Nyumba ya kwanza Inavyumba 11 (kati ya hivyo kimoja kina choo ndani,,, na vingine 10 choo wanashare wawiliwawili)
2. Nyumba ya pili ina vyumba 6 vyote ni master kubwa
#Mtaa wenye Soko kubwa la wapangaji na bei za vyumba ni zuri
โข Eneo lote lina ukubwa wa SQM 851
๐ Mbele ya hizi nyumba Kuna uwanja mkubwa wa SQM 400, Ambao unaweza jenga tena nyumba
๐ Naukitaka Eneo hili tu la mbele Bei yake ni 25,000,000/=
* Mtaa Mzuri, umejengeka tayari
* Huduma za kijamii zipo
* Gari inafika hadi Site
#Ipo Umbali wa dakika 17 kutoka Kituo cha mwendokasi, umbali wa dakika 10 Hadi UDSM
#Fika uone ndugu mteja