Nyumba inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam







NYUMBA 2 ZOTE Z I N A U Z W A TZS 150 MILIONI
LOCATION UKONGA MADAFU NJIA YA KWENDA K.M JIMBO LA UKONGA WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TZ
✓ VYUMBA 23 NA VYOTE VINA WAPANGAJI
✓ KUNA FREM 2
✓ LUKU NA MAJI
UNAWEZA KUJENGA APARTMENT/ LOGDE ZA KISASA NI PAZURI SANA
UKUBWA WA ENEO SQM 611
DOCUMENT LESENI YA MAKAZI
BEI TZS 150 MILIONI
NIPIGIE 0784156583 / 0656011897 / 0627885467
WHATSAPP
0696662405
KUPELEKWA KUONYESHWA 30 OOO