Nyumba inauzwa Uwanja Wa Ndege, Mara


NYUMBA INAUZWA AREA D(KARIBU NA UWANJA WA NDEGE).
WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU KWAKO KUPATA KIWANJA KWASASA AU KWA BEI NAFUU UKILINGANISHA NA NYUMBA HII INAVYOUZWA
__________
MAHALI-AREA D YA MWANZO KABISA(KARIBU NA KARAKANA YA JESHI)
__________
UKUBWA WA KIWANJA-600SQM
_________
MUUNDO WA NYUMBA
-VYUMBA 04 VYA KULALA(01 MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-PUBLIC TOILET
_________
DOCUMENT-HATI
__________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
__________
NB-BEI YA KIWANJA TU MTAA HUU NI ZAIDI YA MILIONI 80
NA NYUMBA HII INAUZWA BEI NDOGO SANA
__________
MAWASILIANO
0675228261
0672370722