Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Buswelu, Mwanza
NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BUSWELU
-chumba kimoja self contained, sebule na jiko
-umeme na maji unajitegemea
-kodi 180,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi 4
NB:-
-nyumba zote zipo wazi
-nyumba ipo karibu na lami
☎️ 0743220097