Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja chenye Ukubwa wa mita 25 kwa mita 30.
Kiwanja kipo njia ya goba kituo mageti
Kiwanja kipo umbali wa mita 700 kutoka lami na panafikika vyema kwa kila Aina ya gari
Ndani ya hiki kiwanja Kuna chumba na seble mbili na chumba kimoja, Ambapo chumba na seble kodi ni laki moja kwa mwezi na chumba kimoja kodi ni 60 kwa mwezi. Jumla makusanyo ya kodi kwa mwezi ni laki mbili na 60,Nyumba zinawapangaji tayari.mtaa ni supper,vyoo vya inje
Bei milioni 50
Piga 0719190753