Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIBAMBA CHAMA
DK 4 KUTOKA STEND KIBAMBA KIBAMBA
SIFA YA NYUMBA
___________________
hizi nyumba ni nyumba mpya
Zipo aina mbili 2
(A) nyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
KODI (600,000)
X 6
(B) nyumba viwilli 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji
KODI NI LAKI TANO
(500,000)
X 6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU UPATE MAELEZO ZAIDI
CALL
0713320608
0686334182