Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibondo, Kagera
Nyumba chumba kimoja sebule self na jiko ndan, pia maji na umeme ni uhakika na Kodi yake ni tsh. 120,000/= kwa mwezi, na unalipia kuanzia miez 3. Jiko kwa Sasa limekamilika na nyumba Bado mpya, Ipo kibondo road karibu na mjin. Karibun sana, Asanteee.