Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location Funcity
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba nzuri na safi
✅nyumba iko barabarani
<> asking price 200k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
<> malipo kuanzia miezi mnne
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837