Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI 
<> location kisiwani 
<> chumba kimoja master sebule na jiko pamoja na public toilet 
✅nyumba iko fenced 
✅nyumba Ina parking 
✅mazingira mazuri
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba iko jirani na lami
✅nyumba nzuri na safi
<> asking price 250k per month 
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano 
✅0628505896
✅0763954837




















