Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba Ina chumba kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Inajitegemea
✅mazingira mazuri
✅nyumba ina parking
✅nyumba mpya kabisa
<> asking price 250k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837