Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location darajani
<> chumba kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba ina mazingira mazuri
✅nyumba iko jirani na barabara
✅nyumba ina parking kubwa
<> asking price 280k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837