Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NZURI INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA
Location: Kimara Bucha
Distance: Takribani 1 km kutoka stand ya Mwendo Kasi.
🚶 Kwa mguu dakika 15 tu, na kwa bodaboda Tsh 1000 mpaka getini.
🏠 SIFA ZA NYUMBA
🔸 Chumba kimoja Master Bedroom.
🔸 Umeme wa LUKU (Submeter binafsi imefungwa).
🔸 Maji safi yanapatikana masaa 24/7.
🔸 Fensi & Parking kubwa na salama.
👉 Chumba kitakuwa wazi tarehe 29/03/2026 kuona ndani na kufanya luksa kabisa kwa uhuru. Booking inaruhusiwa.
GHARAMA
🔹 Kodi: Tsh 130,000 × miezi 6
🔹 Malipo ya Dalali: Tsh 130,000
🔹 Service Charge: Tsh 20,000
Normal Calls: 0688 067 289 📞




















