Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO IPO WAZI KABISA KWA KUHAMIA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#NA BALAZA YAKO
#PUBLICK TOILET
TAILIZ GIPSAM TAILIZ MPKA NJE . MAZINGIRA MAZURI SANA NO USWAHILI HAPA
#LUKU NI MOJA ILA KILA MMOJA ANA SUBMETER YAKE
#MAJI DAWASA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 KUTOKA STANDI YA MWENDO USAFILI BAJAJI 700 PIKI PIKI 1000
UKISHUKA DK 1 UPO NDANI YA NYUMBA
#BEI NI 60,000 KODI YA MIEZI 6 INATAKIWA KODI YA MIEZI 6 HAIPUNGUI MIEZI
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 60000
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
O627977383
MUONE MR ROONY TZ
AKUHUDUMIE KWA HARAKA