Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 4 NDANI YA FENSI MOJA NDIO IPO WAZI
================
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
==================
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
==================
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
.
SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
==================
SIFA ZAKE
#########
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN CABINET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
===================
NB: UKILIPIA NYUMBA UMELIPIA PAMOJA NA MAJI UDAIWI IMEJUMLISHWA KWENYE KODI
================
CONTACT
0742260844
0657384670