Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAPANGISHWA IPO KIMARA BARUTI
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Choo cha kisasa
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Full security
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
KODI 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI UNAPOLIPIA NYUMBA
ITAKUWA IMEKAMILIKA TAREHE 1/12 RUKSA KUONA RUKSA KULIPA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.