Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







SINGLE ROOM INAPANGISHWA
📍Kimara korogwe
🕑Umbali Kutoka stand ya Mwendokasi, kwa mguu dakika 10_12 bodaboda 1000 Tu
🏡SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja
🔹Choo nje cha kwako pekee ako
🔹Kibaraza cha kupikia
🔹Umeme Sub-Meter yake inafungwa
🔹Maji nje masaa 24
🔹Nyumba haipo kwenye fance ila usalama wa kutosha no uswahili hapa
🔶Kodi Tsh 100,000/=× 4,5,6 (Miezi Sita
🔶Malipo ya Dalali Tsh 100,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
SIMU 0659336751 WSP 0786085637