Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿HOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours
KODI 600,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINNING ROOM
✔️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA la KISASA
✔️STORE KUBWA
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️LUKU Na MAJI INAJITEGEMEA
✔️FENCED
✔️PARKING KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌ITAKUWA WAZI 16/04/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA NI RUKSA BOSS 💰✍️
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp