Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA STOP OVER (DSM)🇹🇿
====================
RANGI INAPIGWA KOTE NJE NDANI
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SEBULE JIKO
PUBLIC TOILET IPO NDANI KWA NDANI
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UMEME KILA MMOJA ANA MITA YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA1
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA STOP OVER(DSM)🇹🇿
USAFIRI UPO NI BODA 1000 AU MIGUU DKK10_15
*KODI NI TSZ 200,000/= KWA MWEZI
_________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_________________________