Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(200,000X3)KIMARA MWISHO
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 3 NDANI FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 200,000X3
LOCTION KIMARA MWISHO DAKIKA 5
SIFA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANAAA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
CONTACT US:-
0716223412
0683597453