Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI YA KUPANGA 120K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE
#PUBLIC TOILET YA NJE
SAKAFU NYEKUNDU GYPSUM MADIRISHA MAZURI YA SHATA YENYE HEWA SAFI NDANI YA FENCE PARKING SPACE HAKUNA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 09.02.2025
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
CALL
0627977383