Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(160,000 Γ 6) πππ ππ₯π π πͺππ¦ππ’ UNAWEZA PITIA
πππ ππ₯π π¦π¨ππ
Nyumba nzuri sana inapangishwa 160,000
Ina chumba kimoja master
Sebule
Jiko zuri
Public toilet
Maji yanaflow ndani
Luku UNAJITEGEMEA
Malipo kuanzia miezi 6
Ipo km 2.5 kutoka kituoni mwendokasi
Bajaji zipo 700 kutokea KIMARA SUKA KIMARA au MWISHO
Ukishuka kwenye Bajaji unaingia ndani
SERVICE charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya haraka piga simu
Usitume sms wala Dm maana zitachelewa kujibiwa
0654101710
0787205300